Meza Duara ya Vijana (VICAPOC) 26/08/2024

Lengo la Programu ya Meza Duara ya Vijana ni kutoa nafasi kwa Vijana kukutana kubadilishana taarifa na uelewa wa Fursa za kujiajiri na kukuza Uchumi kwa Vijana zilizopo Kwenye Mazingira yanayowazunguka, kupata nafasi ya kuonyesha bidhaa, Bunifu na huduma zao za kukuza Uchumi,kukutana na Viongozi wa Sekta za umma na Sekta binafsi ili kujua huduma zao na jinsi wanavyosaidia Fursa za kujiajiri na kukuza Uchumi kwa Vijana sambamba na Elimu ya mifuko ya uwezeshaji Vijana iliyopo Nchini.

Leave a Reply