Kozi za muda mfupi

Karibu mafunzo ya muda mfupi ya Miezi sita, yataanza mwishoni mwa mwezi wa sita. Ada yetu ni nafuu kulingalisha na vyuo vingine vya VETA.

 

Kozi za walihitimu darasa la saba na kuendelea

  • Ushoji
  • Upishi
  • Ufundi Bomba
  • Upakaji Rangi na Alama za Maadishi
  • Uchomeleaji
  • Ujenzi

Kozi za waliohitimu kidato cha nne na kuendelea

  • Umeme wa Majumbani
  • Umeme wa Jua
  • Umeme wa Magari
  • Utengenezaji wa Viyoyozi na Majokofu