Kongamano la kitaifa la Vijana

Serikali kwa kushirikiana na wadau inaandaa kongamano la kitaifa la Vijana ambalo litafanyika Jijini Dodoma Kuanzia tarehe 22 mpaka 24,  Januari 2024.Mgeni Rasmi anatarajiwa kuwa Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Tunaomba vijana walio hitimu chuoni VICAPOC mwaka 2021 na wanaotarajia ikawa wanaendelea na mafunzo kujaza fomu ya ushiriki  Au kupiga simu 0768 770 888 kuthibitisha kushiriki kabla ya tarehe 24, December 2023. kushiriki ni muhimu kwa vijana wote.